📢 MADINI NI FURSA – ANZA SAFARI YAKO NA CHUO CHA MADINI SHINYANGA (ESIS)
🌍 Earth Sciences Institute of Shinyanga
Tunapenda kukujulisha kuwa udahili kwa ngazi ya CHETI na DIPLOMA bado unaendelea katika kozi zifuatazo:
✅ Exploration and Mining Geology (Utafutaji na Uchimbaji Madini)
✅ Petroleum Geology (Jiolojia ya Mafuta na Gesi)
✅ Kozi za Muda Mfupi (Tailor Made Short Courses)
🎯 Fursa hii ni ya kipekee kwani wanafunzi wenye sifa za kitaaluma hupata mkopo wa serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB).
👉 Usikose nafasi yako ya kusoma taaluma inayokuhakikishia ajira na kipato cha uhakika.
🌐 Apply Now: www.esis.ac.tz
📞 Help Desk:
+255 687 434 617 | +255 765 434 604
GUSA LINK HAPA CHINI👇
🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz
Post a Comment