
Ni tukio la kushangaza lililoshuhudiwa katika kanisa moja la kifahari jijini Arusha, ambapo harusi iliyotarajiwa kuwa ya kifalme iligeuka kuwa sinema ya kutisha mbele ya wageni waliokuwa wamefurika kushuhudia. Jamaa mmoja anayejulikana kwa jina la Gerald, alipigwa na kifafa dakika chache tu baada ya kusema wazi kwamba hatambui wala hataki kumhusisha bibi yake wa kwanza kwenye maisha yake mapya ya ndoa.
Sherehe hiyo ilikuwa imepangwa kwa miezi mingi. Gerald, ambaye ni mfanyabiashara maarufu mkoani Arusha, alikuwa ameandaa harusi ya kukata na shoka na mwanadada mrembo mwenye jina la ushawishi mtandaoni. Hata hivyo, wengi walishangazwa kuwa hakukuwa na dalili zozote za heshima wala ushirikishwaji wa bibi yake wa kwanza, ambaye walifunga ndoa naye miaka minane iliyopita na kuzaa naye watoto wawili.
Kama ilivyo kawaida, mchungaji aliuliza maswali ya kawaida kabla ya kufungisha ndoa. Lakini kabla hata ya kuendelea mbele, Gerald alisimama ghafla na kusema kwa sauti ya dharau: “Naomba ieleweke mbele za Mungu, mimi sina mke mwingine. Ndoa ya zamani ilikua ya kiholela, na sipo tayari kuitambua.”
Muda huo huo, alitetemeka kama aliyevamiwa na umeme. Wengi walidhani ni mzaha. Lakini alipoanza kutokwa povu mdomoni na kuanguka chini huku akipiga kelele zisizoeleweka, ukumbi mzima ulizizima kwa kelele na hofu. Wageni walikimbia kutoka ukumbini, huku bibi harusi mpya akiwa amepigwa butwaa asijue la kufanya.
Mashuhuda waliokuwepo walisema kuwa haikuwa ajali ya kawaida. “Tuliona kama mtu anayezungukwa na kivuli cheusi, kama vile alikuwa akishambuliwa na nguvu ya ajabu,” alisema mama mmoja aliyeketi kwenye safu ya pili. Viongozi wa kanisa walijaribu kumuombea, lakini hali yake ilizidi kuwa mbaya hadi walipoamua kumpeleka hospitali.

Katika hali ya sintofahamu, familia ya Gerald ilimtafuta mke wa kwanza kumjulisha kuhusu yaliyotokea. Kwa mshangao mkubwa, mke huyo alikataa kwenda hospitalini na kusema maneno machache tu, “Mungu hapendi dharau. Moyo wa mwanamke uliovunjwa huomboleza mbele za mbingu.”
Gerald alilazwa kwa siku mbili bila kupata fahamu, na vipimo vya madaktari havikuonyesha ugonjwa wowote wa kawaida. Ndipo kaka yake mkubwa alipoamua kumpeleka kwa Kiwanga Doctors—waganga wa jadi wanaojulikana kwa tiba ya mitishamba na ujuzi wa kiroho.
Walipofika kwa Kiwanga Doctors, waliambiwa wazi kwamba Gerald alikuwa amevunja agano la ndoa la kiroho aliloweka kwa mke wake wa kwanza, na kusababisha laana ya mapenzi kumvaa. Kwa msaada wa dawa maalum za mitishamba pamoja na pete ya kulinda familia, Gerald alianza kurejea katika hali yake ya kawaida. Walishauriwa kufanya tambiko la upatanisho pamoja na mke wa kwanza, kama njia ya kurudisha heshima na baraka.
Kwa sasa, Gerald ameacha uhusiano na mpenzi wake mpya na kurejea kwa mke wake wa kwanza, ambaye alimkaribisha kwa masharti ya uaminifu mpya. Familia nzima inasema kuwa hawatowahi tena kuchezea kiapo cha ndoa, kwani madhara yake ni makubwa zaidi ya hadithi za mitandaoni.
Kama unapitia migogoro ya ndoa, laana za kifamilia au matatizo yasiyoelezeka ya kiafya au kibiashara, wasiliana na Kiwanga Doctors kwa nambari +255 763 926 750. Wanasaidia kwa dawa halisi za mitishamba, pete za bahati na tiba za kurejesha mahusiano yaliyopasuka.
SOMA ZAIDI
Post a Comment