
🎓 NAFASI BADO ZIPO! CHETI & DIPLOMA KATIKA CHUO CHA MADINI SHINYANGA (ESIS)
Je, unataka kujenga mustakabali wako katika sekta ya Madini, Mafuta na Gesi?
Hii ndiyo nafasi yako!
Chuo cha Madini Shinyanga (ESIS) kinapokea maombi ya udahili kwa ngazi za Cheti na Diploma katika kozi zifuatazo:
✅ Exploration & Mining Geology (Utafutaji na Uchimbaji Madini)
✅ Petroleum Geology (Jiolojia ya Mafuta na Gesi) na
Kozi za Muda Mfupi (Tailor Made Short Courses)
🌍 Faida za kusoma ESIS:
🔹 Walimu wenye uzoefu na ujuzi wa kitaalamu
🔹 Mazingira rafiki ya kusomea
🔹 Elimu ya vitendo kupitia migodi na maabara
🔹 Fursa ya kupata mkopo wa serikali kwa wenye sifa
👉 Usikose nafasi yako! Nafasi bado zipo.
📌 Tuma maombi yako sasa kupitia:
🌐www.esis.ac.tz
📞 +255 765 434 604 | +255 687 434 617
ESIS – Elimu Bora, Mustakabali Wenye Thamani.
GUSA LINK HAPA CHINI👇
🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz
Post a Comment