" RAIS SAMIA AKIWASILI KWENYE UWANJA WA DAKAWA SOKOINE KUZUNGUNZA NA WANANCHI

RAIS SAMIA AKIWASILI KWENYE UWANJA WA DAKAWA SOKOINE KUZUNGUNZA NA WANANCHI


Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa Dakawa Sokoine wilayani Mvomero mkoani Morogoro ambapo atazungumza na wananchi hao na kuwaomba kumpigia kura katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika Oktoba 29, 2025 nchi nzima.

PICHA NA JOHN BUKUKU- MVOMERO



Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Dkt. Asharose Migiro Akitoa maelekezo kwa Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Kenan Kihongosi wakati wa maandalizi ya kumpokea Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye uwanja wa Dakawa Sokoine ambapo atazungumza na wananchi na kuwaomba kumpigia kura katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika Oktoba 29, 2025 nchi nzima







GUSA LINK HAPA CHINI👇


APPLICATION FORM

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA


Post a Comment

Previous Post Next Post