📢NAFASI ZA MASOMO BADO ZIPO!, JIUNGE NA CHUO CHA MADINI SHINYANGA (ESIS)
🌍 Earth Sciences Institute of Shinyanga
🎓 NAFASI BADO ZIPO!
Jiunge leo na Chuo cha Madini Shinyanga (ESIS) upate elimu bora yenye mwelekeo wa ajira na mustakabali thabiti!
✨ KOZI ZINAZOTOLEWA (CHETI NA DIPLOMA):
✅ Exploration and Mining Geology (Utafutaji na Uchimbaji Madini)
✅ Petroleum Geology (Jiolojia ya Mafuta na Gesi)
🚀 Jiunge sasa na anza safari ya taaluma yenye uhakika wa ajira katika sekta ya madini, mafuta na gesi!
📌 TUMA MAOMBI SASA:
🌐 www.esis.ac.tz
📞 Help Desk:
+255 765 434 604 | +255 687 434 617
GUSA LINK HAPA CHINI👇
🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz
Post a Comment