Mwamuzi wa Kimataifa wa Mauritania,Dahane Beida ndiye atakayekuwa kwenye chumba cha VAR kwenye mchezo kati Tanzania dhidi ya Morocco hapo kesho.
Refa Dahane ndiye aliyekataa goli la Yanga dhidi ya Mamelodi lakini pia alichezesha mchezo wa Simba dhidi ya RS Berkane.
Post a Comment