" TUME YATANGAZA RATIBA YA VYAMA KUCHUKUA FOMU ZA WAGOMBEA WA URAIS

Facebook SDK

  • Tangaza nasi leo
  • Home
  • Contact us
  • About us
MISALABA  MEDIA - Habari kwa Maslahi ya Umma
  • Home
  • MAGAZETI
  • AFYA
  • MICHEZO
  • MATUKIO
  • MAKALA
  • AJIRA
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • SHINYANGA
  • HABARI

Top News

  • RATIBA YA UCHAGUZI MKUU 2025 HII HAPA

  • TUME YATOA RATIBA MPYA, SAU, CUF, ACT WAZALENDO NAO KUCHUKUA FOMU ZA URAIS

  • MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI AGOSTI 9, 2025

  • MWANAMKE MCHAGA ANAYEFANYA MAAJABU KATIKA UFUGAJI WA NGURUWE KAGERA

  • MAGAZETI YA LEO JUMATANO AGOSTI 6, 2025

  • KURA ZA MAONI CCM: TAZAMA HAPA WABUNGE WALIOONGOZA KWENYE MAJIMBO YAO

  • MWENGE WA UHURU 2025 WARIDHISHWA NA MIRADI YOTE 8 YA MAENDELEO HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA, WANANCHI WAASWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025

  • MAGAZETI YA LEO IJUMAA AGOSTI 08, 2025

  • MAGAZETI YA LEO JUMANNE AGOSTI 12, 2025

  • ORODHA ya Vilabu Bora Afrika 2025 (CAF Club Ranking)

HomeHABARI

TUME YATANGAZA RATIBA YA VYAMA KUCHUKUA FOMU ZA WAGOMBEA WA URAIS

Misalaba Media August 08, 2025 0


Na Mwandishi Wetu


Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza ratiba ya kuchukua fomu za uteuzi kwa wagombea wa vyama 14 vya siasa waliopendekezwa kugombea nafasi za Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inaanza kesho tarehe 09 Agosti, 2025.


Mkurugenzi wa INEC, Ndugu, Kailima Ramadhani akizungumza jijini Dodoma leo tarehe 08 Agosti, 2025 amewataja wagombea watakaochukua fomu kesho tarehe 09 Agosti, 2025 kuwa ni kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM), National Reconstruction Alliance (NRA) na Alliance for African Farmers Party (AAFP).


“Hadi leo tarehe 08 Agosti, 2025, tumepokea barua kutoka katika vyama vya siasa kumi na nne (14) zikiainisha tarehe na muda ambao wanachama wa vyama vyao waliowapendekeza kugombea nafasi za Kiti cha Rais na Makamu wa Rais watafika ofisi za Tume zilizopo Njedengwa Jijini Dodoma kwa ajili ya kuchukua Fomu za Uteuzi,” amesema Ndugu. Kailima.


Amevitaja vyama vingine na tarehe za wagombea kuchukua fomu kuwa ni pamoja na na Chama cha MAKINI tarehe 10 Agosti, 2025, The National League for Democracy (NLD) tarehe 10 Agosti, 2025, United Peoples’ Democratic Party (UPDP) tarehe 10 Agosti, 2025 na African Democratic Alliance Party (ADA – TADEA) tarehe 11 Agosti, 2025.


Vyama vingine ni Union for Multiparty Democracy (UMD) tarehe 11 Agosti, 2025, Tanzania Labour Party (TLP) tarehe 11 Agosti, 2025, Chama Cha Kijamii (CCK), tarehe 12 Agosti, 2025, Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), tarehe 12 Agosti, 2025, Alliance for Democratic Change (ADC), tarehe 12 Agosti, 2025, Democratic Party (DP) tarehe 13 Agosti, 2025 na National Convention for Construction and Reform (NCCR – MAGEUZI) tarehe 15 Agosti, 2025.


Ndugu Kailima amesema tayari Tume imeviandikia vyama hivyo vya siasa barua kuvijulisha kuhusu ratiba hiyo ya utoaji fomu za uteuzi.


“Aidha, ni muhimu tukumbuke kuwa, ratiba hii inahusu vyama kumi na nne (14) pekee vilivyowasilisha taarifa hadi kufikia leo tarehe 08 Agosti, 2025, hivyo iwapo vyama vingine vitajitokeza, tutaandaa ratiba husika na kuwajulisha,” amesema.


Amevipongeza vyama vyote vya siasa kwa kuendelea kufanya maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 na kuongeza kuwa, Tume kwa upande wake itazingatia katiba, sheria na kanuni wakati wote wa mchakato wa uchaguzi.




Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima akizungumza wakati akitangaza ratiba na orodha ya vyama ambavyo wagombea wake wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania watafika katika Ofisi za Tume Njedengwa Jijini Dodoma kuchukua fomu za utezi kwaajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Kailima amesema hadi kufikia leo Agosti 08, 2025 vyama 14 vimeijulisha Tume ratiba ya wagombea wa vyama husika kuchukua fomu. Zoezi hilo litaanza Agosti 09 hadi 15 mwaka huu na vyama vingine vitakavyojitokeza vitapangiwa ratiba. (Picha na INEC).







KARIBU CHUO CHA MADINI SHINYANGA (EARTH SCIENCES INSTITUTE OF SHINYANGA)




🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Tags HABARI KITAIFA SIASA
  • Share

You Might Like

View all

Post a Comment

Post a Comment

Previous Post Next Post

USIYOYAJUA NA JONATHAN KIFUNDA MANYAMA

KARIBU CHUO CHA MADINI SHINYANGA (EARTH SCIENCES INSTITUTE OF SHINYANGA)

Karibu Chuo cha Madini Shinyanga Earth Sciences Institute of Shinyanga (ESIS) Mahali ambapo ubora ni msingi wetu na kila jiwe linachongwa kuwa hazina ya maarifa. Unapojifunza hapa, haupati tu elimu ya vitabuni, bali pia maarifa ya vitendo yanayokujenga kuwa mtaalamu anayehitajika katika sekta ya madini, mafuta, na gesi. Nafasi za Kujiunga Zipo Wazi! Mawasiliano Zaidi: 🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz 📧 Baruapepe: info@esis.ac.tz 📱 WhatsApp: 0765434604 / 0687434617

EAST AFRICAN SPIRITS

 

Ubora wa East African Spirits (T) Ltd

 

HELLO TANZANIA!

Karibu MISALABA MEDIA, tunajihusisha na uchakataji na usambazaji wa habari na matukio mbalimbali mitandaoni, tukiwaletea taarifa zenye uhakika na uhalisia.

Huduma zetu zinaangazia:

  • Mikutano ya Hadhara: Matangazo ya moja kwa moja na kufuatilia mikutano na matukio muhimu ya kijamii na kisiasa.
  • Maafa na Majanga: Habari za haraka na taarifa za kina kuhusu majanga yanayotokea.
  • Habari za Ukatili, Burudani, na Michezo: Tunawaletea habari za kina, makala, na mahojiano ya kipekee kuhusu ukatili, burudani, na michezo.

KWETU NDIO MAHALA SAHIHI!

Pia tunatoa huduma za:

  • Video shooting za Nyimbo: Tunarekodi na kuchakata video za muziki kwa ubora wa hali ya juu.
  • Short clips na Short films: Tunatengeneza na kuchakata vipande fupi vya video na filamu za ubunifu kwa ajili ya matangazo, mitandao ya kijamii, na zaidi.

Kwa nini utuchague?

  • Uzoefu na Ubunifu: Timu yetu ya wataalamu ina uzoefu wa miaka mingi katika sekta ya habari na uchapishaji wa maudhui.
  • Ubora na Uaminifu: Tunajivunia kutoa huduma bora na za kuaminika kwa wateja wetu.
  • Upatikanaji: Tupo mtandaoni muda wote, tukihakikisha unapata taarifa muhimu kwa wakati.

Tembelea tovuti yetu: www.misalabamedia.com

Au tembelea mitandao yetu ya kijamii: YouTube, Instagram, Facebook, na X

Kwa maelezo zaidi au kuanza kushirikiana nasi, tupigie simu: 0745 594 231

HANSON'S CHOICE LADHA HALISI


Unapofurahia kinywaji chenye ladha halisi, unajivunia asili yako! Hanson's Choice – imeundwa kwa ubora, ladha murua, na fahari ya Tanzania.

Chagua kilicho bora kwa mlo wako wa jioni au sherehe maalum! 🥃✨

Nunua sasa na ujisikie tofauti!

📧 info@eastafricanspirits.com
📞 +255767650806 | +255652096254

Map Mastar MKM - Kataa Ukatili (Official Music Video)

January 05, 2023

RAIS DKT. SAMIA AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI MBALIMBALI

January 05, 2023

MAGAZETI YA LEO IJUMAA JANUARI 6,2023

January 05, 2023

SMS za Kubembeleza Mpenzi Wako Au Mke

April 07, 2025

MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2024

January 04, 2025

MKE WA BALTASAR WA VIDEO 400 ZA NGONO ,VIDEO YAKE YANASWA NA MUME MWINGINE

November 09, 2024

TAZAMA HAPA MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA NNE NA KIDATO CHA PILI 2023

January 07, 2024

KURA ZA MAONI CCM: TAZAMA HAPA WABUNGE WALIOONGOZA KWENYE MAJIMBO YAO

August 04, 2025

WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI NA VYA KATI - 2025 (FIRST SELECTION)

June 06, 2025

Video: NELEMI MBASANDO APEWA TUZO YA HESHIMA, AELEZA HISTORIA YAKE FUPI ALIVYOUA SIMBA POLINI

September 16, 2024

JIUNGE NA CHUO CHA MADINI SHINYANGA

HANSON'S


GOLDBERG

 

Subscribe Us

CATEGORIES

  • A
  • AFYA
  • AJIRA
  • BIASHARA
  • BUNGENI
  • BURUDANI
  • CHUO CHA MADINI SHINYANGA
  • DINI
  • EAST AFRICAN SPIRITS
  • ELIMU
  • HABARI
  • HISTORIA NA UTAMADUNI
  • IA
  • JAMII
  • Kilimo
  • KIMATAIFA
  • KITAIFA
  • MAGAZETI
  • MAKALA
  • MAP MASTAR
  • MATOKEO
  • MATUKIO
  • MICHEZO
  • MISALABA MEDIA
  • MUZIKI
  • POLISI
  • SHINYANGA
  • SHUWASA
  • SIASA
  • SIMULIZI
  • SMAUJATA
  • SONGS
  • TAARIFA
  • TANGAZO
  • TANZIA
  • UCHUMI
  • UKATILI
  • UTEUZI
  • VIDEO
  • WABUNGE MAJIMBONI
  • YouTube
  • ZANZIBAR

MISALABA MEDIA CHETI CHA PONGEZI

 

TUMESAJILIWA KUKUHABARISHA

MISALABA  MEDIA - Habari kwa Maslahi ya Umma

Most Popular

Map Mastar MKM - Kataa Ukatili (Official Music Video)

January 05, 2023

RAIS DKT. SAMIA AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI MBALIMBALI

January 05, 2023

MAGAZETI YA LEO IJUMAA JANUARI 6,2023

January 05, 2023

SMS za Kubembeleza Mpenzi Wako Au Mke

April 07, 2025

MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2024

January 04, 2025

MKE WA BALTASAR WA VIDEO 400 ZA NGONO ,VIDEO YAKE YANASWA NA MUME MWINGINE

November 09, 2024

TAZAMA HAPA MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA NNE NA KIDATO CHA PILI 2023

January 07, 2024

KURA ZA MAONI CCM: TAZAMA HAPA WABUNGE WALIOONGOZA KWENYE MAJIMBO YAO

August 04, 2025

WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI NA VYA KATI - 2025 (FIRST SELECTION)

June 06, 2025

Video: NELEMI MBASANDO APEWA TUZO YA HESHIMA, AELEZA HISTORIA YAKE FUPI ALIVYOUA SIMBA POLINI

September 16, 2024

TUMIA BIA YA BASEMBI

MISALABA MEDIA 2

 

NAMBA ZA KUPIGA SIMU POLISI

 

MISALABA MEDIA ALL RIGHTS RESERVED @2024 |
  • Home
  • About
  • Contact

Contact Form