" WASILIANA NA CHUO CHA MADINI SHINYANGA – KUPATA MAARIFA, UJUZI NA UHAKIKA WA AJIRA!

WASILIANA NA CHUO CHA MADINI SHINYANGA – KUPATA MAARIFA, UJUZI NA UHAKIKA WA AJIRA!

 CHUO CHA MADINI SHINYANGA (ESIS)

KINAKUANDAA KIKAMILIFU KUINGIA KWENYE SOKO LA AJIRA!
Chuo kinapokea wanafunzi kwa ajili ya mwaka wa masomo 2025/2026 katika fani zifuatazo:

Jiolojia ya Utafiti na Uchimbaji Madini (Exploration and Mining Geology)
Jiolojia ya Mafuta na Gesi Asilia (Petroleum Geology)

🟢 Kozi Maalum ya Muda Mfupi:
(Tailor made short courses)

🎯 Kozi zetu zimebuniwa kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya madini na nishati, kwa lengo la kukuandaa kwa ushindani kwenye soko la ajira la ndani na nje ya nchi.


JIUNGE NASI LEO – WEKEZA KWENYE ELIMU YENYE MWELEKEO!
📞 Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi kupitia:
📱 +255 765 434 604
📱 +255 687 434 617
🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz

GUSA LINK HAPA CHINI👇


Post a Comment

Previous Post Next Post