" BINGWA WA KARATE ULAYA KUJA TANZANIA

BINGWA WA KARATE ULAYA KUJA TANZANIA






Shihan Ali Tarabeih ambaye ni bingwa wa zamani wa Karate kwa nchi za Ulaya, anatarajiwa kuongoza semina ya Siku mbili kwa wachezaji na waamuzi wa mchezo wa Karate nchini Tanzania, Semina itakayofanyika tarehe 19 na 20 Sept.2025 katika ukumbi wa Upanga Klabu uliopo karibu na ubalozi wa Indonisia na Japani Jijini Dar es Salaam.

Mafunzo hayo yameratibiwa na Shirikisho la Mchezo wa Karate Tanzania.



🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA



Post a Comment

Previous Post Next Post