" DEAL DONE: Nickson Kibabage Ajiunga na Singida Black Stars

DEAL DONE: Nickson Kibabage Ajiunga na Singida Black Stars

 

DEAL DONE: Usiku wa Jana Nickson Kibabage amejiunga na Singida kwa mwaka mmoja akitokea Yanga.

Kıla kitu kimekamilika Kibabage ameondoka Yanga mazima na mkataba umesainiwa Jana usiku.

Kocha Gamondi amehusika kwenye huu usajili✍️

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

Post a Comment

Previous Post Next Post