SOLO MC ATOKA KITOFATI, AACHIA WIMBO MPYA WA SINGELI "WANANGU"
Msanii wa muziki wa Hip Hop, SOLO MC, kutoka eneo la Mwalugoye mkoani Shinyanga, ameachia wimbo wake mpya akiwa na mtindo tofauti na ule aliouzoeleka na mashabiki wake.
SOLO MC, ambaye awali alijulikana kwa nyimbo za Hip Hop, safari hii amekuja na wimbo wa Singeli unaoitwa "WANANGU", hatua inayoonyesha ubunifu na kujaribu vionjo vipya vya muziki ili kuwapa mashabiki wake ladha tofauti.
Wimbo huo kwa sasa unapatikana mtandaoni kwa ajili ya mashabiki na wapenzi wa muziki. Usikilize hapa.
Post a Comment