Na Lucas Raphael, Misalaba Media -TaboraMgombea Urais kupitia chama cha UPD, Saum Hussein Rashid, amewataka wananchi wa wilaya Igunga mkoani Tabora kutojihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani katika kipindi hiki cha kampeni, uchaguzi na baada ya uchaguzi.Alitoa kauli hiyo ilitolewa kwenye mkutano hadhara wa kampeni wa kuomba kura kwa wananchi wawila ya ya hiyo ulifanyika katika kiwanja wa Sokoine wilaya ni humo lengo wakichague chama hicho kwenye uchaguzi mkuu wa Octoba 29 mwaka huu. Alisema wananchi wasijiusishe na vitendo vyovyote vya uvunjifu, wa amani ikiwemo fujo kwenye kipindi cha kampeni au maandamano na chama hicho kimeahidi Kuendelea kufanya siasa safi zisizoza kuchafua na ili kudumisha umoja na mshikamano kwa watanzania wote. Alisema nchi hii niya amani washiriki uchaguzi mkuu, kwa amani na utulivu na wachague viongozi wanaowafaa.Vilevive, mgombea huyo wa urais kupitia hicho aliwataka wananchi kukipingia kura chama hicho ,kwa wale waliojiandikisha na wakakipigie kura chama hicho kura nyingi za kishindo , kwani UPD kinasera ya kuwajaza watu mapesa kwa kuwawezesha,kupata fedha nyingi kupitia kilimo, kuwaunganishia huduma ya maji kwa bei ya bure, kuboresha huduma za afya kutolewa bure hospitalini, elimu na miundombinu ya barabara chama hicho kitaboresha.Kwa upande wao baadhi ya wananchi wawila wa Igunga Salumu Masunga,Maho Shija na Veronika Daudi Wakizungumza na nyakati tofauti walisema kwamba kutunza na kulinda amani wameahidi kuzingatia hilo kwa kusema uvunjifu wa amani kwao utawasababishia kujeruhiwa au kufa au kupoteza mali kwa muda wa uchaguzi ambao ni mfupi na maisha ya kiwa anaendelea tena na hivyo kuhakikisha watashiriki uchaguzi kwa amani na utulivuMwisho


🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Post a Comment