" UTIAJI SAINI MIKATABA YA KIUTENDAJI BAINA YA MSAJILI WA HAZINA NA WENYEVITI WA BODI ZA MASHIRIKA YA UMMA WAFANYIKA ZANZIBAR

UTIAJI SAINI MIKATABA YA KIUTENDAJI BAINA YA MSAJILI WA HAZINA NA WENYEVITI WA BODI ZA MASHIRIKA YA UMMA WAFANYIKA ZANZIBAR






Baadhi ya Wenyeviti wa Bodi mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya Utiaji saini Mikataba ya Kiutendaji(PERFORMANCE CONTRACT)Baina ya Msajili wa Hazina wa Zanzibar na Wenyeviti wa Bodi za Mashirika ya Umma hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZURA Maisara Suleiman Zanzibar.Mwenyekiti wa Badi ya ZBC Dkt,Idrissa Muslim Hijja akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Habari ZBC Ramadhan Bukini katika hafla ya Utiaji saini Mikataba ya Kiutendaji(PERFORMANCE CONTRACT)Baina ya Msajili wa Hazina wa Zanzibar na Wenyeviti wa Bodi za Mashirika ya Umma hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZURA Maisara Suleiman Zanzibar.Msajili wa Hazina Zanzibar Waheed Muhammad Ibrahim Sanya akitoa hotuba ya makaribisho kwa Mgeni rasmi katika hafla ya Utiaji saini Mikataba ya Kiutendaji(PERFORMANCE CONTRACT)Baina ya Msajili wa Hazina wa Zanzibar na Wenyeviti wa Bodi za Mashirika ya Umma hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZURA Maisara Suleiman Zanzibar.Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Dkt,Juma Malik Akili akitoa hotuba ya Ufunguzi katika hafla ya Utiaji saini Mikataba ya Kiutendaji (PERFORMANCE CONTRACT)Baina ya Msajili wa Hazina wa Zanzibar na Wenyeviti wa Bodi za Mashirika ya Umma hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZURA Maisara Suleiman Zanzibar.Msajili wa Hazina Zanzibar Waheed Muhammad Ibrahim Sanya (kulia)akitiliana Saini na Mwenyekiti wa Bodi ya PBZ Joseph Abdalla Meza katika hafla ya Utiaji saini Mikataba ya Kiutendaji(PERFORMANCE CONTRACT)Baina ya Msajili wa Hazina wa Zanzibar na Wenyeviti wa Bodi za Mashirika ya Umma hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZURA Maisara Suleiman Zanzibar.Msajili wa Hazina Zanzibar Waheed Muhammad Ibrahim Sanya (kulia)akiwa pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya PBZ Joseph Abdalla Meza wakionesha Hati za Saini katika hafla ya Utiaji saini Mikataba ya Kiutendaji(PERFORMANCE CONTRACT)Baina ya Msajili wa Hazina wa Zanzibar na Wenyeviti wa Bodi za Mashirika ya Umma hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZURA Maisara Suleiman ZanzibarMsajili wa Hazina Zanzibar Waheed Muhammad Ibrahim Sanya (kulia)akitiliana Saini na Mwenyekiti wa Bodi ya ZSTC Kidawa Hamid Saleh katika hafla ya Utiaji saini Mikataba ya Kiutendaji(PERFORMANCE CONTRACT)Baina ya Msajili wa Hazina wa Zanzibar na Wenyeviti wa Bodi za Mashirika ya Umma hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZURA Maisara Suleiman Zanzibar.Msajili wa Hazina Zanzibar Waheed Muhammad Ibrahim Sanya (kulia)akiwa pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya ZSTC Kidawa Hamid Saleh wakibadilishana Hati za Saini katika hafla ya Utiaji saini Mikataba ya Kiutendaji(PERFORMANCE CONTRACT)Baina ya Msajili wa Hazina wa Zanzibar na Wenyeviti wa Bodi za Mashirika ya Umma hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZURA Maisara Suleiman Zanzibar.



Msajili wa Hazina Zanzibar Waheed Muhammad Ibrahim Sanya (kulia)akitiliana Saini na Mwenyekiti wa Bodi ya ZBC Dkt,Idrissa Muslim Hijja katika hafla ya Utiaji saini Mikataba ya Kiutendaji(PERFORMANCE CONTRACT)Baina ya Msajili wa Hazina wa Zanzibar na Wenyeviti wa Bodi za Mashirika ya Umma hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZURA Maisara Suleiman Zanzibar.



Mkuu wa Idara ya Mitaji ya Umma na Uwekezaji Ofisi ya Msajili wa Hazina Ramia Mohamed Ramia akiwasilisha Ripoti ya tathmini ya Kiutendaji ya Mashirika ya Umma katika hafla ya Utiaji saini Mikataba ya Kiutendaji(PERFORMANCE CONTRACT)Baina ya Msajili wa Hazina wa Zanzibar na Wenyeviti wa Bodi za Mashirika ya Umma hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZURA Maisara Suleiman Zanzibar.Mwandishi wa Habari kutoka ITV Farouk Karym akiuliza maswali katika hafla ya Utiaji saini Mikataba ya Kiutendaji(PERFORMANCE CONTRACT)Baina ya Msajili wa Hazina wa Zanzibar na Wenyeviti wa Bodi za Mashirika ya Umma hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZURA Maisara Suleiman Zanzibar.Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ZSSF Dkt,Huda Ahmed Yussuf akitoa maoni yake katika hafla ya Utiaji saini Mikataba ya Kiutendaji (PERFORMANCE CONTRACT)Baina ya Msajili wa Hazina wa Zanzibar na Wenyeviti wa Bodi za Mashirika ya Umma hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZURA Maisara Suleiman Zanzibar. (PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR.16/09/2025.)

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

Post a Comment

Previous Post Next Post