" Kapombe, Zimbe na Kelvin John Watemwa Kikosi Kipya cha Taifa Stars

Kapombe, Zimbe na Kelvin John Watemwa Kikosi Kipya cha Taifa Stars

 

Kocha wa Timu ya Taifa, Suleiman Morocco ametangaza kikosi cha Taifa Stars kitachoingia kambini kujiandaa na mechi za kufuzu kombe la Dunia.

Katika kikosi hicho nyota mpya wa Yanga Sc, Mohamed Hussein Zimbwe ameachwa, Andabwile, Naldo, Shomari Kapombe katemwa na Mshambuliaji Kelvin John hajaitwa kwa mara nyengine.

YAPI MAONI YAKO JUU YA HILI?

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

Post a Comment

Previous Post Next Post