" YANGA SC YAMTAMBULISHA KOCHA MPYA MSAIDIZI

YANGA SC YAMTAMBULISHA KOCHA MPYA MSAIDIZI

 

𝐑𝐀𝐒𝐌𝐈: Klabu ya Yanga Sc imemtambulisha kocha Patrick Mabedi kama kocha msaidizi klabuni hapo kwa ajili ya kusaidiana na kocha mkuu Roman Folz.

Mabedi (51),raia wa Malawi amewahi kufanya kazi kama kocha mkuu wa timu ya taifa ya Malawi, kocha wa muda na kocha msaidizi wa wa klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.

TIMU ALIZOPITA:
2014-2015 Maroka Swallows (Msaidizi)
2015-2016 Black Aces (Msaidizi)
2016- Malawi (Msaidizi)
2016-2017 Cape Town All Stars (Kocha Mkuu)
2017-218 Kaizer Chiefs (Msaidizi)
2018 – Kaizer Chiefs (Care taker)
2019 – Black Leopards (Msaidizi)
2020-2023 Malawi U20
2023-2025 Malawi

Post a Comment

Previous Post Next Post