Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo Oktoba 12, 2025 wakati akitangaza orodha ya maeneo ya uchaguzi kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kufuatia kufutwa kwa baadhi ya maeneo na kutangaza kutengua uteuzi wa wagombea saba katika maeneo ya uchaguzi yaliyofutwa, kufutwa kwa vituo vya kupigia kura 292 na kuanzishwa kwa vituo vingine 292 katika Kata walipohamishiwa wapiga Kura husika. (Picha na INEC).
Post a Comment