USIKU WA SHUKURANI – BARAKA TELE
AIC KAMBARAGE CHOIR inakukaribisha katika ibada maalumu ya shukrani yenye lengo la kujenga na kuinua roho za waumini kupitia sifa, ibada na maombi.
Tukio hili linaendelea kuvutia wadau mbalimbali, na kwa mwaka huu tunamshukuru:
Mdhamini:
Mpango wa Taifa wa Damu Salama Tanzania (NBTS)
“Changia Damu, Okoa Maisha.”
Tunathamini mchango wao katika kufanikisha maandalizi ya usiku huu.
Lakini pia tunaendelea kufungua milango kwa wadhamini wengine wanaopenda kusapoti kazi ya Injili na shughuli za kijamii kupitia tukio hili.
Ikiwa wewe au taasisi yako mnatamani kuwa sehemu ya wadhamini, karibu sana — nafasi bado ipo.
Kwa mawasiliano ya udhamini na taarifa zaidi:
📞 0757 462 260
🌐 @aickambaragechoir
Kuja tuusherehekee usiku wa shukrani—na uwe sehemu ya kubeba kazi ya Mungu kupitia udhamini.


Post a Comment