
Bunge la 13 , Leo historia imeandika ukurasa mwingine wa heshima na uadilifu. Mbele ya Bunge Tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Mohamed Mchengerwa ameapa kwa moyo wa uzalendo, uaminifu, na dhamira ya dhati ya kulitumikia Taifa.
Mikono juu, kitabu cha katiba mkononi, moyo ukiwa umejaa heshima kwa wananchi waliomwamini — ni ishara ya ujasiri na uwajibikaji. Sauti yake ilipoapa, haikuwa sauti ya mtu mmoja, bali sauti ya maelfu ya wananchi wa Rufiji waliomchagua kuwa mwakilishi wao, sauti ya matumaini, maendeleo na mabadiliko chanya.
Huu ni mwanzo wa safari nyingine ya utumishi, safari ya kuimarisha sauti ya wananchi bungeni, kusimamia haki, maendeleo na ustawi wa kila Mtanzania.
Katika kampeni zake Mhe. Mchengerwa alisisitiza kuendelea kufanya siasa za maendeleo katika jimbo lake na taifa kwa ujumla huku akiwataka wananchi kudumisha amani kwa maendeleo ya kizazi cha sasa na baadaye.
Mhe. Mchengerwa ni Mbunge wa tisa wa kuchaguliwa katika jimbo hilo la Rufiji toka lianzishwe na kuongozwa na wabunge kadhaa kuanzia Mhe. Bibi Titi Mohamed ambapo anaelezewa kuwa ni miongoni mwa wabunge walioliletea maendeleo makubwa Jimbo hilo ukilinganisha na wabunge waliotangulia.
Licha ya kuwa Mbunge wa tisa wa Jimbo hilo, Mhe. Mchengerwa ni miongoni mwa wanasiasa wachache nchini ambao wamehudumu kwenye mihimili yote katika nafasi za juu za uandamizi kwa mafanikio makubwa.

Kwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na akaondoka kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki yangu aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu ili kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.
ReplyDeleteMwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwa ajili yangu - na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.
Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ndiyo tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.
Lakini sio hivyo tu - Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyozunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.
Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote - huzuni, bahati mbaya, au kuchanganyikiwa - usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.
Wasiliana naye kwenye WhatsApp: +2349046229159
Post a Comment