" MHE. SALOME MAKAMBA ALIVYOAPISHWA, SASA NI RASMI NAIBU WAZIRI WA NISHATI

MHE. SALOME MAKAMBA ALIVYOAPISHWA, SASA NI RASMI NAIBU WAZIRI WA NISHATI



 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuapisha Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Wyclef Makamba, katika hafla rasmi iliyofanyika Ikulu ya Chamwino, Dodoma, tarehe 18 Novemba 2025.

Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, ambapo Mhe. Makamba ameahidi kutekeleza majukumu yake kwa uadilifu, weledi na kwa maslahi mapana ya taifa.

Post a Comment

Previous Post Next Post