

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suruhu Hassan amewaapisha kiapo Cha Maadili Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana Bi. Jenifa Christian Omolo, Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana Dkt. Kedmon Elisha Mapana na Balozi Lazaro Nyalandu katika hafla iliyofanyika leo Novemba 21, 2025 Ikulu Chamwino, Dodoma.
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
✉️ info@eastafricanspirits.com
Post a Comment