Na Osama Chobo, Misalaba Media -Songea Chuo cha veta Songea kimefanya mahafali yake ya 40 kwa wahitimu wa ngazi ya pili ambapo wahitimu 169 kwa fani za umeme wa nyumbani,umeme wa magari,ufundi bomba,ufundi uselemala , uwashi,ubunifu wa mavazi na uchomeleaji na uungaji wa vyuma ambazo zinakwenda kuwasaidia kujiajiri na kupunguza changamoto za ajira Mahafari hayo yalifanyika katika uwanja wa chuo cha veta Songea, ambapo vijana hao wamepata ujunzi wa fani mbalimbali .Akizungumza mara baada ya kutamatika kwa maafari hayo, kaimu mkuu wa chuo Ndugu Samuel Msana alieleza namna ujunzi wa fani unaotolewa na vyuo vya veta unavokuwa msaada kwa vijana katika kupunguza changamoto za ajira Kwa upande wake mgeni rasmi ambaye pia Meneja Tanroad mkoa wa Ruvuma mhandisi Saleh Mkwana Juma aliwataka wahitimu kuwa wabunifu katika jamii, ili kuweza kijitengenezea fursa kwa fani walizojifinzaAlisistiza suala la kujiamini kwa kile ambacho wamekipata,na kwenda kukufanyia kazi kwa kubadili changamoto za jamii kuwa fursa za ajira na kuweza kuisaidia jamii zao🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
✉️ info@eastafricanspirits.com




Kwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na akaondoka kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki yangu aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu ili kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.
ReplyDeleteMwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwa ajili yangu - na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.
Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ni tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.
Lakini sio hivyo tu - Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyozunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.
Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote - huzuni, bahati mbaya, au kuchanganyikiwa - usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.
Wasiliana naye kwenye WhatsApp: +2349046229159
dawnacuna314@gmail.com
Post a Comment