" WAZIRI MKUU WA TANZANIA KUJULIKA KESHO NOVEMBA 12 - MHE. ZUNGU

WAZIRI MKUU WA TANZANIA KUJULIKA KESHO NOVEMBA 12 - MHE. ZUNGU


 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amesema kuwa kesho, Alhamisi Novemba 13, 2025, kikao cha tatu cha mkutano wa kwanza wa Bunge la 13 kitakuwa na kazi mbili muhimu.


Kabla ya kuahirisha kikao cha leo, Spika Zungu amebainisha kuwa mbali na kuthibitisha jina la Waziri Mkuu, Bunge pia litachagua Naibu Spika.

“Waheshimiwa Wabunge, kikao cha kesho ambacho ni cha tatu, tutakuwa na kazi kubwa mbili. Kazi ya kwanza ni kupokea na kuthibitisha jina la Waziri Mkuu, na kazi ya pili ni kumchagua Naibu Spika,” amesema Spika Zungu.

 

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

Post a Comment

Previous Post Next Post