" ZAIDI YA WANANCHI 1,500 KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJIKO BANIFU WILAYANI BABATI

ZAIDI YA WANANCHI 1,500 KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJIKO BANIFU WILAYANI BABATI



📌 *Majiko banifu 1,582 kusambazwa na kuuzwa kwa bei ya ruzuku* .

📌 *Jiko moja kuuzwa kwa bei ya ruzuku ya TZS 11,200* .

📍 *BABATI* 

Mkuu wa Wilaya ya Babati, Mheshimiwa Emmanuela Kaganda, leo 12, 2025 kwa niaba ya wakazi wa wilaya ya babati amezindua mradi wa utangazaji wa majiko banifu kwa bei ya ruzuku.  


Uzinduzi huu ni sehemu ya utekelezaji wa maagizo ya mkuu wa mkoa wa Manyara, Mheshimiwa Queen Sendiga akiwataka wakuu wa wilaya zote wa mkoa wa manyara kuzindua na kutekeleza ahadi ya mradi wa kutangaza na kumaliza majiko katika wilaya yao.


Uzinduzi umefanyika katika kata ya Magugu wilayani babati, ambapo jumla ya majiko banifu 1,582 yatauzwa na kusambazwa kwa bei ya ruzuku ya TZS 11,200 ambayo ni sawa na aslimia 80 ya ruzuku ya TZS 56,000 ambayo ni bei ya awali ya jiko.


Sauti wakati wa Mheshimiwa, Mheshimiwa Kaganda amesema mpango huo umelenga kusaidia wananchi wote, hususani wa kipato cha chini, wanapata fursa ya kutumia safi na salama ya kupikia kwa gharama nafuu.


Aidha, amewataka wananchi kuacha kutumia njia isiyo salama ya kujifunza na kuanza kutumia safi na salama ili kulinda afya zao na mazingira.


“Kampeni hii si tu inalenga kuboresha afya ya wananchi, bali inalenga kuhifadhi mazingira kwa misitu wa misitu unaotaka na matumizi makubwa ya mkaa na kuni” amesema Kaganda.


Mpango huu wa ruzuku unatarajiwa kupata upatikanaji wa nishati safi , salama na nafuu ya kujifunza kwa wananchi na hivyo kuwa chachu ya mabadiliko kuelekea upishi salama na rafiki kwa mazingira.


Akiwasilisha taarifa ya mradi kwa wakazi wa baba waliojitokeza katika ujumbe huo, Mhandisi wa miradi kutoka kwa Wakala wa Nishati Vijijini, Ramadhani Mganga amesema,


Kwa wilaya ya babati mradi unatarajia kusambaza na kuuza majiko 1,582 na kila jiko kuuzwa kwa bei ya ruzuku ya TZS 11,200 tu.

 

Mhandisi Mganga amesema, ili mwananachi aweze kununua jiko atatakiwa kuwa na kitambulisho cha taifa (NIDA) au namba ya kitambulisho cha taifa ambayo ataambatanisha na kitambulisho cha mpiga kura au udereva na pesa taslimu TZS 11,200 tu.


Mwisho.


Post a Comment

Previous Post Next Post