Diwani wa kata ya Nyamagana kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Mwanza Dkt. Frank Chacha amewahimiza wananchi wa kata hiyo kudumisha amani katika kata iyooo iliyopo katikati ya jiji la Mwanza kuelekea Sikukuu za Krismas na Mwaka mpyaAkizungumza hii leo katika ziala ya kukagua Miundo Mbinu ya Barabara ambayo ipo kwenye utekelezaji wa irani 2025/2030 amewasisitiza wananchi waendelee kuwa na utulivu lakini pia na kulinda amani kwa amani ndiyo tunu ya Taifa katika ziara hiyo Diwani huyo ameambatana na Viongozi mbalimbali ngazi ya kata.
Diwani wa kata ya Nyamagana kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Mwanza Dkt. Frank Chacha akizungumza.
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254


Post a Comment