KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS INAKULETEA KINYWAJI CHA HANSON’S DRY – SIKUKUU BILA HANGOVER
Sikukuu hizi, chagua ubora unaoaminika.
Hanson’s Dry ni kinywaji chenye ladha safi, kilichotengenezwa kwa viwango vya juu vya ubora, kikikupa burudani ya kweli bila usumbufu.
Ni chaguo sahihi kwa wale wanaotaka kufurahia Krismasi na Mwaka Mpya kwa utulivu, furaha na kumbukumbu nzuri.
👉 Kwa wanywaji:
Furahia ladha ya kipekee, baridi, laini na inayokupa raha ya kweli kila unapoinua glasi.
👉 Kwa mawakala na wafanyabiashara:
Huu ni wakati sahihi wa kutoa oda mapema ili kukidhi mahitaji makubwa ya sikukuu. Hanson’s Dry inauzwa kwa kasi, usikose nafasi ya kuongeza mauzo yako.
HANSON’S DRY,📍 Zinapatikana kwenye maduka yote yaliyo karibu nawe
📞 Wasiliana nasi:
+255 767 650 806
+255 763 304 652
📧 info@eastafricanspirits.com
EAST AFRICAN SPIRITS (T) LTD – LADHA YA UBORA, FURAHA YA SIKUKUU
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254








Post a Comment