
JAMBO GROUP NA JAMBO FM WAJIUNGA RASMI NA USIKU WA SHUKURANI 2026
Ladies and Gentlemen!
Mabibi na Mabwana!
Kwa furaha na shangwe kubwa, tunayo heshima kuwatambulisha wadhamini wetu wapya na washirika wa tukio la USIKU WA SHUKURANI 2026,
JAMBO GROUP pamoja na JAMBO FM
Kwa kifupi kabisa, tunaweza kusema:
“Kipele kimepata mkunaji!”
Kwa ushirikiano huu, ni wazi kabisa kwamba USIKU WA SHUKURANI 2026 – ABUNDANT BLESSINGS unaenda kuwa wa viwango vya juu, wenye ubunifu, msisimko na maisha fresh ya kipekee—lakini zaidi ya yote, baraka tele hazitakosekana!
Tarajia mambo makubwa, ya kupendeza na ya kihistoria katika ibada hii maalum ya shukrani, sifa, kuabudu na maombi.
📣 MWALIKO KWA WADHAMINI WENGINE
Tunaendelea kuwakaribisha taasisi, kampuni, mashirika na watu binafsi wanaotamani kushirikiana nasi kama wadhamini wa tukio hili kubwa la kiroho na kijamii.
Ushirikiano wako ni fursa ya kugusa maisha ya wengi na kuwa sehemu ya baraka tele.
📞 Wasiliana nasi kwa udhamini na ushirikiano:
📱 +255 685 788 063 – AICT Kambarage Choir


Post a Comment