" Nchi ya Latvia Yakabiliwa na Uhaba wa Wanaume, Wanawake ni Wengi zaidi

Nchi ya Latvia Yakabiliwa na Uhaba wa Wanaume, Wanawake ni Wengi zaidi

 

Nchi ya Latvia inakabiliwa na tatizo la kipekee la idadi ya watu, ambapo wanawake wanazidi wanaume kwa zaidi ya 80,000. Hali hii imetokana na uhamaji mkubwa wa wanaume, tofauti za kiafya ambazo zinafanya wanaume kuishi maisha mafupi kuliko wanawake, na mabadiliko ya idadi ya watu baada ya kuanguka kwa Umoja wa Kisovyeti.

Kwa miaka mingi, trendi hizi zimechangia kupungua kwa idadi ya wanaume, jambo linaloathiri muhusiano, ajira, na mipango ya kiuchumi ya taifa.

Kwa mujibu wa takwimu rasmi za mwaka 2025 kutoka kwa kitengo cha takwimu za taifa, wanawake wanaunda takriban 53.7% ya idadi yote ya watu nchini Latvia. Hii ina maana kwamba, kwa wastani, kuna 116 wanawake kwa kila 100 wanaume katika nchi hiyo.

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post