" NIGERIA YAPATA TUMAINI JIPYA! DR CONGO MATATANI KWA WACHEZAJI HARAMU!

NIGERIA YAPATA TUMAINI JIPYA! DR CONGO MATATANI KWA WACHEZAJI HARAMU!

 

Ndoto za Super Eagles ya Nigeria kufuzu Kombe la Dunia 2026 zinaweza kufufuliwa! Inaripotiwa kuwa DR Congo inakabiliwa na uchunguzi mzito kwa tuhuma za kuchezesha wachezaji wasio na sifa.

Uchunguzi huo unahusu madai kuwa wachezaji 9 walibadilisha uraia bila kukamilisha taratibu za kisheria na kiutawala zinazohitajika na FIFA. Ikiwa DR Congo watapatikana na hatia, wanaweza kupoteza pointi muhimu ambazo zitaibeba Nigeria! (Chanzo: Arise News)

Post a Comment

Previous Post Next Post