" Yanga Yapigwa Faini Kisa Ushirikina

Yanga Yapigwa Faini Kisa Ushirikina

 

Klabu ya Yanga imelimwa adhabu ya million tano (5,000,000) kwa kosa la shabiki wake kuonyesha kitendo cha kishirikina kwenye mchezo wa Ligi kuu dhidi ya Coastal Union (0-1).

Ripoti inaeleza kuwa shabiki wa klabu hiyo alienda kutoa kitu kwenye lango la Coastal Union kwenye mchezo ambao Yanga walikuwa wageni uliopigwa kwenye dimba la Jamhuri Jijini Dodoma.

Post a Comment

Previous Post Next Post