" Taifa Stars Yapata Pigo Kabla ya Mchezo wa Leo

Taifa Stars Yapata Pigo Kabla ya Mchezo wa Leo

 

Golikipa wa Klabu ya Simba na timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Yakoub Suleiman amepatwa jeraha la goti kwenye mazoezi ya mwisho kabla ya kuwakabili Nigeria.

Yakoub amepata jeraha hilo ambapo inadaiwa anaweza kukosa mashindano yote ya AFCON 2025. Kwa upande mwengine Stars itamkosa Feisal Salum kuelekea kwenye mchezo dhidi ya Nigeria.

Taifa Stars itacheza mchezo wake wa kwanza Leo Disemba 23 dhidi ya Nigeria katika mashindano ya AFCON 2025 yanayofanyika Nchini Morocco.

Post a Comment

Previous Post Next Post