" AIC KAMBARAGE CHOIR YAWASHUKURU WALIOSHIRIKI MKESHA WA USIKU WA SHUKURANI 2026

AIC KAMBARAGE CHOIR YAWASHUKURU WALIOSHIRIKI MKESHA WA USIKU WA SHUKURANI 2026

AIC KAMBARAGE CHOIR YAWASHUKURU WALIOSHIRIKI MKESHA WA USIKU WA SHUKURANI 2026

Kwaya ya AIC Kambarage inatoa shukrani za dhati kwa waumini, wageni na wadau wote waliopata nafasi ya kushiriki Mkesha wa Usiku wa Shukurani. Ushiriki wenu, maombi yenu na upendo wenu vilifanya usiku huo kuwa wa kipekee, uliojaa sifa, ibada na baraka tele.

Tunamshukuru Mungu kwa kila mmoja aliyefika na kwa ushirikiano wenu mkubwa ulioleta utukufu kwake. Asanteni sana kwa kuungana nasi—Mungu awabariki kwa wingi. 🙏✨

LIVE: TAMASHA LA USIKU WA SHUKURANI | SEASON TWO 2026, KWAYA MBALIMBALI ZINAIMBA MUDA HUU

 

Post a Comment

Previous Post Next Post