
Nyota wawili wa Yangasc ambao wamesajiliwa kwenye dirisha dogo hili la usajili Laurindo Dilson Maria Aurélio (DEPU) pamoja na Allan Okello wanatarajiwa kuwasili nchini Tanzania leo.
Huku uongozi wa Yangasc wanafikiria kuwapatia zawadi mashabiki wa soka visiwani Zanzibar kwa kuwapeleka na kutambulishwa pale uwanjani kwa mara ya kwanza.
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment