Wananchi Manispaa ya Shinyanga wamepewa elimu kuhusu utoaji wa taarifa pindi wanapoona makosa ya usalama barabarani yakitendekaAkitoa elimu hiyo Askari Polisi wa Kikosi Cha usalama barabarani Mkoa wa Shinyanga Sajenti David Ndimila amewataka wananchi kutoa taarifa hizo Kwa wakati ikiwa ni pamoja na vyombo vya moto vinavyosababisha ajali na kukimbia.Sajenti Ndimila amewaeleza kuwa ushirikiano wa pamoja kati ya Jeshi la Polisi na Wananchi unaweza kuleta matokeo chanya katika kuzuia ajali za mara Kwa mara barabarani
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254



Post a Comment