Na Mwandishi wetu, Misalaba Media
Mwenyekiti wa Ccm Wilaya Ya Nyang'wale Adam Ntole amempongeza Mhe Rais DKT Samia Suluhu kwa kutenga Wizara ya Vijana Itakayoshughulikia Masuala ya Vijana Akizungumza wakati wakutoa Elimu kwa Vijana wa Wilaya Hiyo amesema Dkt Samia Suluhu kwa amekuwa Mfano kwa upande wa Ajira tumeshuhudia Ajira nyingi zilizotangazwa 2025 hayo yote ni kuhakikisha anapambana na changamoto ya Ajira iliyopo nchini Mmoja ya kijana aliyepata Elimu juu ya Kilimo amempongeza Ntole kwa Kuendelea kuwa Mfano wa kuigwa kwa kuwa na kiu na Vijana .Deusi alisema hii Elimu niliyoipata Itanisaidia Kupambana kwenye Kilimo ili niweze kujipatia kipato wakati nikisubiri Ajira na ntaendelea kuwa balozi kwa Vijana wenzangu tufanye Kazi.

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment