" PICHA: MKURUGENZI WA JAYRUTTY

PICHA: MKURUGENZI WA JAYRUTTY

 

Mkurugenzi wa Kampuni ya JAYRUTTY akiwa amepiga picha na Bus ambalo litatumika na Kampuni hiyo kuuzia Jezi za Simba na promosheni mbalimbali za Kampuni hiyo zinazohusu Simba, hapo ni nchini China ambapo kila kitu kipo tayari na Bus litaingia Majini kuanza safari ya kuja Dar Es Salaam.

‎Wakati huo huo kwa mujibu wa taarifa kutoka kwenye Vyanzo vyangu ni kuwa IRIZAR la Simba pia limeshanunuliwa na linatokea nchini Hispania kama alivyoahidi ila kutokana na changamoto za njia ya Maji kutokea Ulaya route imebadilishwa hivyo Bus la Simba Irizar linatarajiwa kufika Dar Es Salaam mnamo mwezi Februari mwaka huu.

‎Tuweke kumbukumbu sawa hilo pichani hapo ni BUS la Kuuzia tu jezi za Simba kupitia Kampuni ya JAYRUTTY

Post a Comment

Previous Post Next Post