" Ratiba ya Mechi Kubwa za Ulaya Leo

Ratiba ya Mechi Kubwa za Ulaya Leo

 

Genk watakuwa kibaruani dhidi ya Malmo ambao wanashika nafasi ya 2 kutoka mwisho kwenye msimamo wa Europa wakiwa na pointi 1 pekee kwenye mechi 7. Mara ya mwisho kukutana kati ya hawa wawili walitoa sare. Leo kila mtu anahitaji pointi 3, je siku ya leo nani kuibuka mbabe?.

Mechi nyingine  ni hii ya Lyon vs PAOK ambapo pointi 6 ndioz ambazo zinawatofautisha. Mwenyeji yeye yupo juu kwenye msimamo wa ligi huku mgeni yeye akishika nafasi ya 12. Takwimu zinasema kuwa hii ndio mara ya kwanza hawa wawili kukutana. Je nani kushinda leo?.

Kwa upande wa FC Basel atakuwa nyumbani kucheza dhidi ya Viktoria Plzen ambao wapo nafasi ya 17 huku wenyeji wao wakiwa nafsi ya 27.

Baada ya kutoa sare mechi iliyopita, leo hii FC Porto atakiwasha dhidi ya Rangers ambao wapo nafasi ya 31 na pointi zake 4 kwenye mechi 7 alizocheza, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 9 na pointi zao 14. Je nani kuondoka kifua mbele leo?.

Kule Ufaransa Lille atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Freiburg ya Ujerumani ambapo tofauti yao ni pointi 8 pekee. Meridianbet wanakwmabia kuwa unaweza ukapiga pesa kwa kubashiri mtanange huu wa leo. Unangoja nini sasa?.

Aston Villa atakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Salzburg ambao mpaka sasa kwenye mechi 7 walizocheza wana pointi 6 pekee. Villa chini ya Unai hadi sasa wapo nafasi ya 2 kwenye msimamo wa ligi wakiwa na pointi 18.

Post a Comment

Previous Post Next Post