Wito huo umetolewa na Sajenti David Ndimila wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Shinyanga, wakati akizungumza na wafanyabiashara hao ambapo amesema kuwa kusimama karibu na eneo la daraja ni hatarishi kwa sababu magari na vyombo vya moto vinaweza kukosa uelekeo jambo ambalo linaweza kusababisha ajali kwa wafanyabiashara, wateja na watumiaji wengine wa barabara.
Aidha, aliwasisitiza wanapofanya biashara pembezoni mwa barabara kuhakikisha wanaweka alama au vitu vinavyoonekana vizuri vya onyo ili kuwatangazia madereva kuhusu uwepo wao, jambo litakalosaidia kupunguza hatari za ajali.
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment