Leo ndiyo siku iliyosubiriwa kwa hamu—TAMASHA LA USIKU WA SHUKURANI!
Kwa moyo wa furaha na shukrani, AIC Kambarage Choir inawakaribisha watu wote kuungana nasi usiku wa sifa, ibada, maombi na shukrani za dhati kwa Mungu kwa yote aliyotutendea.
Njoo tushuhudie BARAKA TELE, tukimrudishia Bwana utukufu na kupokea yale aliyotutayarishia.
Hakuna kiingilio — wote mnakaribishwa!
📍 AIC Kambarage Church – Shinyanga
⏱️ Kuanzia saa 1:00 usiku hadi asubuhi
Karibu sana, usikose! 🙌🔥

Post a Comment