" Simba Kumsajili Beki wa Pembeni wa Yanga Nickson Kibabage

Simba Kumsajili Beki wa Pembeni wa Yanga Nickson Kibabage

 

Mlinzi wa pembeni Nickson Kibabage amejiunga na Simba Sports Club akitokea Singida Black Stars, Kibabage amejiunga na Simba kwa mkataba wa Mwaka mmoja wenye kipengele cha kuongeza mwingine

Kibabage ni Moja ya mabeki wazawa mwenye uwezo Mkubwa wa kushambulia na kuzuia huku akiwa na uzoefu wa kutosha kwenye ligi kuu na michuano ya kimataifa

Aidha Kibabage alikuwa miongoni mwa wachezaji walioiwakilisha Tanzania kwenye AFCON 2025 nchini Morocco ambapo Tanzania ilifika hatua ya 16 Bora kwa mara ya kwanza.

Post a Comment

Previous Post Next Post