Na: Belnardo Costantine, Misalaba MediaMamlaka ya kudibiti na kupambana na Dawa za kulevya nchini "DCEA" yakamata tani 9 za dawa za kulevya jijini Dar es salaam.Taarifa kutoka mamlaka Hiyo kupitia kamaishina Jenerali Lyimo inadesema, katika Mtaa wa Wailes uliopo Halmashauri ya Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam mamlaka hiyo ilikamata pakti 20 za skanka zenye uzito wa kilogramu 20.03 zikiwa zimefichwa ndani ya balo la mitumba na kufichwa kwenye basi aina ya Scania lenye usajili wa nchi ya Msumbiji namba AAM 297 CA, mali ya Kampuni ya King Masai Tours, linafanya safari zake kati ya Nampula nchini Msumbiji na Tanzania."Watuhumiwa waliokamatwa kuhusiana na tukio hilo ni Amasha Idd Mrisho miaka 40, ambaye ni mkazi wa Buza jijini Dar es Salaam na Seleman Juma Ally miaka 32 raia Msumbiji"

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254


Post a Comment