Na Osama Mohamedi chobo, Misalaba Media -SongeaShirika la viwango Tanzania (TBS) lateketeza vinywaji,vyakula na vipodozi ambavyo vilibainika haviko salam kwa matumizi ya binadamu .Tukio hilo limefanyika mapema leo katika eneo la dambo manispaa ya songea ambapo bidhaa hizo zimewezwa kuchomwa na kuteketezwa Akizungumza Afisa Mwandamizi udhibiti ubora ambaye ni Msimamizi kutoka ofisi ndogo ya songea Barnabas Mgaya ameeleza kuwa bidhaa hizo wamezikamaka baada ya kufanya ukaguzi,kwani kuna baadhi ya wafanyabiashara wanauza vyakula ,vinywaji na vipodozi ambazo shirika wamekataza mfano vipodozi vyenye sumu na vyakula vilivyoisha muda wakeAidha amewataka wananchi kuweza kutoa taarifa katika vyombo vya serikali ili kuweza kufanya ukaguzi na kuweza kuviondoa katika soko na kuwataka wafanyabiashara kuzingatia kanuni za ubora wa bidhaa Imeelezwa kuwa bidhaa zilizowezwa kuteketezwa zina thamani Shilling million mbili laki Saba na sitini
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment