" Ali Kamwe Afunguka “Kama Yanga Inacheza Vibaya Peleka Timu yako”

Ali Kamwe Afunguka “Kama Yanga Inacheza Vibaya Peleka Timu yako”

 

Ali Kamwe Afunguka "Kama Yanga Inacheza Vibaya Peleka Timu yako"

Afisa habari wa klabu ya Yanga Ally Kamwe amesema watu wanamzunguka sana kwenye maongezi yao kwakuwa wanamuogopa sana na wanamjua akili zake.

Ameyasema hayo akizungumza na waandishi wa habari baada ya kurejea Dar es salaam wakitokea mkoani Lindi, ambapo walicheza dhidi ya Namungo na kuibuka na ushindi wa bao 1-0.

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post