" Sababu za Ibraah kukimbilia masheikh baada ya mke kumuacha

Sababu za Ibraah kukimbilia masheikh baada ya mke kumuacha

 

Ibraah awakimbilia masheikh baada ya mke kumuacha

Chinga Ibraah Tz ametuambia anahitaji msaada wa masheikh sababu anahisi funga yake itatetereka baada ya kuachwa na mwanamke anayemuita mke wake.

Kwenye post yake mpya msanii huyo ameandika

“Naomba muwatag mashekhe ambao nitaowasahau kwenye hii post, Maana ninahisi funga yangu ita tetereka wanisaidie hili”

“Hivi katika Uisilam inaruhusiwa mwanamke kumuacha mwanaume au ni mwanaume kumuacha mwanamke tu maana nimeachwa na ninaye muita mke wangu”.

Una lipi la kumwambia Ibraah katika hili?

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post