Madereva wa Magari makubwa yanayokwenda masafa marefu wamepatiwa elimu ya kujiepusha na ajali pindi wanapotaka kuyapita Magari mengine barabarani.Elimu hiyo imetolewa na Askari Polisi wa Kikosi Cha usalama barabarani Mkoa wa Shinyanga Sajenti David Ndimila ambapo amewataka madereva hao kujiridhisha kuwa hakuna madhara Kwa watumiaji wengine wa barabara pindi wanapotaka kuyapita Magari yaliyopo mbele yao.Sajenti Ndimila amewaeleza kuwa kabla ya kulipita gari la mbele dereva anatakiwa kuacha nafasi ya kutosha kati ya gari analoliendesha na la mbele yake waliopo uelekeo mmoja ili aone Kwa urahisi Magari mengine yanayokuja mbele yake Kisha kuchukua maamuzi yaliyo sahihi barabarani.🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254


Post a Comment