
Naitwa Amos, mkazi wa jiji la Iringa, kitovu cha mazao ya misitu nchini Tanzania. Kwa miaka kumi nimekuwa nikijishughulisha na biashara ya mbao na kutengeneza fenicha za majumbani na ofisini. Licha ya Iringa kuwa na mbao za kutosha na mimi kuwa na fundi mzoefu, biashara yangu ilikuwa imegubikwa na ukame wa ajabu.
Nilikuwa na karakana kubwa, lakini oda zilikuwa zinakuja mara moja kwa miezi sita. Nilikuwa naishi maisha ya “kubahatisha,” huku nikishinda kutwa nzima nikiangalia mbao zangu zikiliwa na mchwa na mashine
zikipata kutu kwa kutofanya kazi.
Hali hii ilinitesa sana kisaikolojia. Nilionekana mwanaume niliyefeli mbele ya mke wangu na wanangu. Nilijaribu kila njia; nilipunguza bei ya vitanda na makabati hadi kufikia gharama ya kutengeneza, lakini wateja bado walikuwa wakinitolea nje na kwenda kununua fenicha za bei mbaya kwingine.

Nilihisi nina nuksi iliyopandwa na mahasidi ili nishindwe kuendelea. Kila niliyemuomba ushauri aliniambia “vumilia, soko ni gumu,” lakini mbona wengine walikuwa wanauza? Nilikaribia kuuza mashine zangu zote na kwenda kuanza maisha mapya ya ukulima wa nyanya, nikiwa nimekata tamaa kabisa.
Siku moja nilialikwa kwenye sherehe ya harusi ya rafiki yangu wa zamani. Nikiwa nimekaa kwenye meza moja na wafanyabiashara wenzangu, tulianza kupiga stori za kibiashara. Mmoja wao, ambaye alikuwa anajulikana kwa ukwasi wake wa ghafla, aliniambia siri ambayo sitaisahau.
Aliniambia, “Amos, mbao ni nzuri lakini nyota yako ndiyo inatakiwa kung’ara ili wateja waione kazi yako.” Alinitajia jina la mtaalamu mmoja shupavu anayeitwa Kipemba Doctors kutoka Kisumu Town, Kenya. Aliniambia huyo ndiye aliyemfungulia milango yake baada ya kutaabika kwa miaka mingi.
Bila kusubiri kuku kucheka, niliitafuta namba ya huyo mtaalamu na kuipata ambayo ni +254 708 798256. Nilimtafuta Kipemba Doctors na kumuelezea jinsi karakana yangu inavyogeuka kuwa gofu.
Alinisikiliza kwa umakini na kuniambia kuwa kulikuwa na “kifungo cha kijicho” kilichokuwa kimezimisha mvuto wangu wa kibiashara. Alinifanyia tiba ya kusafisha nyota na kunifungulia milango ya heri kwa kutumia nguvu za tiba asilia ambazo hazina madhara.
Matokeo yalinishangaza! Ndani ya wiki moja tu, nilipata oda ya kutengeneza fenicha za ofisi nzima ya serikali mkoani hapa. Simu zilianza kuita mfululizo; watu kutoka Dar es Salaam na Dodoma walianza kuagiza vitanda na makabati kwangu.
Leo hii, mimi ndiye mtoa mbao mkuu na mtengeneza fenicha anayeaminika zaidi Iringa. Namshukuru sana Kipemba Doctors kwa kunivua gunia la unyonge na kunifanya kuwa mwanaume mwenye heshima na mafanikio makubwa.
Post a Comment