Madereva na Makondakta wa Mabasi ya masafa marefu wamepatiwa elimu ya kutoa taarifa za Msingi Kwa abiria wao kabla ya kuanza safari.Elimu hiyo imetolewa na Askari Polisi wa Kikosi Cha usalama barabarani Mkoa wa Shinyanga Sajenti David Ndimila ambapo amewataka Madereva na Makondakta hao kuwaeleza abiria mapema mambo ya Msingi kama mitungi ya kuzimia moto sehemu ilipo, milango ya dharura pamoja na nyundo Kwa ajili ya kuvunjia vioo pindi zinapotokea changamoto na kutaka kujiokoa.Sajenti Ndimila amewasisitiza kuwa utoaji wa taarifa za Msingi Kwa abiria kabla ya safari utasaidia kupunguza madhara Kwa abiria pindi majanga yanapotokea.🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254



Post a Comment