" USHIRIKI WA SHEREHE YA HARUSI WILAYA RORYA KATIKA MKOA WA MARA 14/02/2026.

USHIRIKI WA SHEREHE YA HARUSI WILAYA RORYA KATIKA MKOA WA MARA 14/02/2026.



Ndugu Fadhili Rajabu Maganya Mwenyekiti wa jumuiya ya Wazazi Taifa ndiye aliyekuwa mwenye shughuli ya sherehe ya harusi ya mtoto wake Mohamed Rajabu Maganya, hivyo Makatibu  wote wa jumuiya za wazazi Wilaya walikuwa ni mojawapo ya waalikwa na wahusika wa sherehe hiyo kama viongozi wa kamati mbalimbali pamoja na wageni waalikwa wa sherehe hiyo ya harusi na katika sherehe hiyo viongozi mbalimbali kutoka Makao Makuu Chama na jumuiya waliweza kuhudhuria kikamilifu katika sherehe hiyo ya tarehe 14/02/2026.  

Ndugu fadhili Rajabu Maganya Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi Taifa akitoa utambulisho mbalimbali kwa wageni waliokuwa kwenye sherehe ya harusi hiyo ya tarehe 14/02/2026.

Tarehe 14/02/2026 uongozi wa jumuiya ya wazazi Makao Makuu ukiongozwa na ndugu ALI SALUM HAPI Katibu Mkuu wa Jumuiya ya wazazi Taifa umeshiriki kikamilifu sherehe ya harusi ya Mohamed Rajabu Maganya Mtoto wa ndugu Faadhili Rajabu Maganya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa.

Tarehe 14/02/2026 ndugu Jimotoli Jilala Maduka Katibu wa jumuiya ya wazazi Wilaya ya Mpanda ameshiriki kikamilifu sherehe ya harusi ya mtoto – Mohamed Rajabu Maganya ambaye ni mtoto wa ndugu fadhili Rajabu Maganya mwenye kiti wa jumuiya ya wazazi Taifa ambayo imefanyika katika Kijiji cha Gabimori Kata ya Kyangasaga Wilaya ya Rorya Mkoa wa Mara.

Tarehe 14/02/2026 Watendaji kwa maana ya Watumishi wa Jumuiya ya Wazazi Makao Makuu wameshiriki kikamilifu sherehe ya harusi ya Mohamed Rajabu Maganya mtoto wa ndugu fadhili Rajabu Maganya mwenye kiti wa jumuiya ya wazazi Taifa ambayo imefanyika katika Kijiji cha Gabimori Kata ya Kyangasaga Wilaya ya Rorya Mkoa wa Mara.

Ndugu Edwin Peter Nyakanyenge Mjumbe wa kamati ya Utekelezaji wazazi Taifa naye tarehe 14/02/2026 ameshiriki kikamilifu sherehe hiyo ya harusi ya Mohamed Rajabu Maganya mtoto wa ndugu fadhili Rajabu Maganya mwenye kiti wa jumuiya ya wazazi Taifa ambayo imefanyika katika Kijiji cha Gabimori Kata ya Kyangasaga Wilaya ya Rorya Mkoa wa Mara.


Husika na kichwa cha habari hapo juu, Jumuiya ya wazazi CCM Wilaya ya Mpanda imeshiriki kikamilifu sherehe ya harusi Wilaya ya Rorya katika Mkoa wa Mara.

Ndugu Jimotoli Jilala Maduka Katibu wa jumuiya ya wazazi CCM Wilaya ya Mpanda ameshiriki kikamilifu sherehe hiyo  kwa kuiwakilisha jumuiya ya wazazi CCM wilaya ya Mpanda na hii ni kwa sababu ya umoja na mshikamano wa pamoja katika kujenga mahusiano ya ushirikiano katika majukumu ya kijamii.

Ndugu Makatibu wa Jumuiya wa wazazi Wilaya tarehe 14/02/2026 washiriki kikamilifu sherehe hiyo ya harusi ya Mohamed Rajabu Maganya mtoto wa ndugu fadhili Rajabu Maganya mwenye kiti wa jumuiya ya wazazi Taifa ambayo imefanyika katika Kijiji cha Gabimori Kata ya Kyangasaga Wilaya ya Rorya Mkoa wa Mara. Hivyo Makatibu wa Jumuiya ya wazazi Wilaya zote Tanzania wamefanya umoja na mshikamano wa pamoja kuhudhuria kwenye sherehe hiyo ya harusi ya Mohamed Rajabu Maganya kwa lengo la kuendeleza mshikamano wa pamoja katika majukumu ya kijamii pamoja na shughuli mbalimbali  za kujenga na kushikamana katika mahusiano ya pamoja kama familia moja.

Tarehe 14/02/2026 Ushiriki wa sherehe hiyo ya harusi ya Mohamed Rajabu Maganya mtoto wa ndugu fadhili Rajabu Maganya mwenye kiti wa jumuiya ya wazazi Taifa ambayo imefanyika katika Kijiji cha Gabimori Kata ya Kyangasaga Wilaya ya Rorya Mkoa wa Mara. Na viongozi mbalimbali waliweza kuhudhuria kwa ushiriki kama familia, ndugu, jamaa na rafiki.








  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254




 

Post a Comment

Previous Post Next Post