
Unawakumbuka waigizaji wa Nigeria Osita Iheme and Chinedu Ikedieze (Aki na Ukwa) ambao walifanya utoto wetu kuwa bora sana mwanzoni mwa miaka ya 2000 katika maigizo yao.
Picha ya Aki na Ukwa
Unaambiwa kwa sasa Osita Iheme (Aki) ana miaka 44 na Chinedu (Ukwa) ana miaka 48, kwa pamoja wameigiza zaidi ya Movies 15.
Kabla ya wanamuziki Davido, Wizkid, Burna Boy, Rema, Asake, Tems Baby, Ayra Starr na Tiwa Savage Aki na Ukwa walitamba sana Tanzania na Africa Mashariki kwa ujumla.
Ukiachilia mbali uwezo wao wa kuigiza sasa hivi wanafanya shughuli zingine za ujasiriamali na uwekezaji ndani ya Taifa lao la Nigeria.
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment