" Mchezaji Steven Mukwala Aanza Kibarua Kipya Libya Kwa Spidi ya 6G

Mchezaji Steven Mukwala Aanza Kibarua Kipya Libya Kwa Spidi ya 6G

 

Taarifa kutoka nchini Libya ni kwamba Steven Desse Mukwala anakiwasha kweli kweli, ameanza vizuri akiwa na waajiri wake wapya Al Nasser akiwa amecheza mechi nne mpaka sasa na kufunga magoli matatu.

Mshambuliaji huyo raia wa Uganda, amejiunga na miamba hiyo ya Libya, akitokea klabu ya Simba Sc katika dirisha dogo la usajili.

Steven Mukwala, ambaye ni mshambuliaji mahiri na mwenye kipaji kikubwa cha kusakata boli anazidi kuonyesha ubora wake siku hadi siku.

   

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post