Madereva wa bajaji za mizigo (Guta) wametakiwa kujiepusha kuwa chanzo Cha ajali barabarani kutokana na kubeba mizigo Kwa njia hatarishi wawapo barabarani Akitoa elimu hiyo Askari Polisi wa Kikosi Cha usalama barabarani Mkoa wa Shinyanga Sajenti David Ndimila amewaeleza Madereva hao kuwa kubeba mzingo mkubwa kupita chombo Cha moto husika humfanya dereva kushindwa kukimudu chombo hicho, kushindwa kuona nyuma pia kuweza kusababisha madhara Kwa watumiaji wengine wa barabara.Sajenti Ndimila amewataka madereva hao kujitambua na kutekeleza utii wa Sheria bila shuruti ili kuepukana na ajali za mara Kwa mara barabarani.
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254



Post a Comment